Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 10:02am — 4 Comments
MITUNGI YAWAINGIZA CHOO CHA KIUME NISHA, MADAHA
MASTAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na Baby Joseph ‘Baby Madaha’ juzikati walijikuta wakiingia kujisaidia choo cha kiume bila kujielewa.
Ishu hiyo iliyopigwa chabo na paparazi wetu, ilijiri hivi karibuni katika hoteli moja jijini Dar wakati mastaa hao walipokuwa…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 9:50am — 5 Comments
WATUHUMIWA WIZI WA MIL. 700 KWA MRAMBA WATOWEKA
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova.
Na Makongoro Oging'WIKI iliyopita katika safu hii tuliandika habari kuhusiana na wizi wa shilingi milioni 700 zilizoibwa kwa Mary Mramba nyumbani kwake Stakishari, wilayani Ilala na tukaahidi kuendelea…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 9:26am — 2 Comments
BANDAMA, INI VINAMTESA MTOTO HUYU
“UKIONA mwezio ananyolewa na wewe tia maji maana yake kuna siku nawe yanaweza kukufika.”
Hiyo ni kauli ya mama aliyejitambulisha kwa jina la Felister Ramadhan kutoka mkoani Manyara ambaye amefika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuuguza mwanaye anayeugua bandama…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 9:00am — 6 Comments
POLISI WAVALIA NJUGA MTANDAO WA WIZI WA PIKIPIKI
JESHI la polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni limevalia njuga mtandao wa wizi wa pikipiki na tayari limewanasa watu sita wanaohusishwa na wizi wa pikipiki nne katika operesheni maalum iliyofanyika wiki mbili zilizopitaka katika kukabiliana na na uhalifu huo.…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 9:00am — 5 Comments
BI HARUSI ATEKWA, ABAKWA, AUAWA
BI. Harusi mtarajiwa, Elizabeth Terezia (32), mkazi wa Mbezi Beach, Kinondoni jijini Dar es Salaam amebakwa, ameuawa kikatili na watu wasiojulikana wakati akitoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Kawe, Dar linaloongozwa na Mchungaji Kiongozi…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 8:30am — 19 Comments
ALIYEMSHITAKI DC KOROGWE ‘APIGWA TRANSIFA’
MWANASHERIA wa Manispaaa ya Korogwe, mkoani Tanga, Najum Tekka ambaye amemshitaki Mkuu wa Wilaya hiyo Mrisho Gambo, ‘amepigwa transifa’ (kuhamishwa) na kupelekwa wilayani Nzenga, Tabora, Uwazi limeambiwa.…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 8:30am — 5 Comments
HAUSIGELI ATUMBULIWA TUMBO, ATOROSHWA, KISA MUME WA MTU
Na Joseph Ngilisho, Arusha
BINTI aliyekuwa akifanya kazi za ndani (hausigeli), Angel Lema (22) mkazi wa Leganga, Kata ya Usa River wilayani Arumeru, aliyetumbuliwa tumbo kwa madai ya kufumwa na mume wa mtu, ametoroka wodini katika hospitali alipokuwa amelazwa.
Tuhuma za tukio hilo zimethibitishwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Halmashauri ya Meru, Dk. Azizi Msuya wakati akiongea na gazeti hili na kueleza kuwa awali binti huyo wakati akiletwa katika hospitali…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 9:02am — 8 Comments
SOPHIA SIMBA, SHYROSE VITA MPYA
HALI ya hewa iliyochafuka wakati wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT, imeeleza kuibua vita mpya kati ya mshindi wa kiti hicho, Sophia Simba na aliyemuuliza swali la kichokozi, Shyrose Bhanji.…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 9:00am — 20 Comments
KANISA LA AJABU LATUA DAR
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 8:41am — 9 Comments
YATIMA ALIYEUNGUA, AHAMISHIWA CCBRT
MTOTO yatima Juliana Mwinuka, mkazi wa Kijiji cha Mavanga, wilayani Ludewa, mkoani Njombe…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 8:30am — 7 Comments
VIONGOZI WATOA TAMKO
KUFUATIA serikali kupiga marufuku mihadhara ya kidini nchi nzima kwa siku 30 wiki iliyopita kwa madai ya kukabiliana na machafuko ya kidini, baadhi ya viongozi wa dini wamesema serikali haijakosea huku wengine wakiikosoa.…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 8:30am — 4 Comments
AIBU ISIYO NA MFANO
WIZI wa aina yoyote ni aibu kwa mtuhumiwa lakini inapotokea staa mkubwa kama Isaac Waziri Makuto ‘Lord Eyez’, kudaiwa kupora vitu kwenye gari, hiyo inakuwa haina mfano.…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 8:00am — 11 Comments
NEY WA MITEGO MATATANI BASATA
Added by GLOBAL on October 16, 2012 at 9:30am — 9 Comments
MTOTO WA KIGOGO AMCHIMBA MKWARA IZZO B
Siyo stori kwamba Izzo kwa sasa anatamba na wimbo “Utarudishwa” ambao amemshirikisha mbishi wa nyimbo za mapenzi,…
Added by GLOBAL on October 16, 2012 at 9:00am — 9 Comments
PAKA ALIVYOTIKISA DARASA
MAKUBWA yamebainika kufuatia tukio la wanafunzi 12 wa Shule ya Msingi Vingunguti, Ilala, Dar es Salam kuanguka na kupoteza fahamu huku baadhi yao wakiweweseka baada ya kumuua paka aliyedondoka darasani shuleni hapo na kutikisa shule, Uwazi linakujuza yaliyo nyuma…
Added by GLOBAL on October 16, 2012 at 9:00am — 11 Comments
MAUAJI YA RPC BARLOW SIMU ZACHUNGUZWA
UTATA bado umegubika mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow aliyepoteza maisha kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi usiku wa Oktoba 12 mwaka huu, Uwazi limejuzwa.
Taarifa kutoka chanzo chetu cha kuaminika zinaeleza kuwa…
Added by GLOBAL on October 16, 2012 at 9:00am — 12 Comments
VURUGU ZA MBAGALA: HALI TETE
Added by GLOBAL on October 16, 2012 at 8:51am — 13 Comments
AUNT LULU: KUZENI MAKALIO KWA MCHINA, MIMI SITUMII
Na Erick Evarist
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’ amewashauri mabinti wanaotaka kukuza…
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’ amewashauri mabinti wanaotaka kukuza…
Added by GLOBAL on October 9, 2012 at 10:13am — 11 Comments
RECHO WASANII WA BONGO FLEVA NI WEZI
Na Erick Evarist
STAA wa filamu Bongo, Recho Haule ‘Recho’ amebwatuka na kuwaita wezi wasanii wa Bongo Fleva akidai wanawaibia mashabiki kwa kucheza CD katika shoo…
STAA wa filamu Bongo, Recho Haule ‘Recho’ amebwatuka na kuwaita wezi wasanii wa Bongo Fleva akidai wanawaibia mashabiki kwa kucheza CD katika shoo…
Added by GLOBAL on October 9, 2012 at 10:04am — 7 Comments