Search This Blog

01 November 2012

GAZETI LA UWAZI

ROHO YA MWINGIRA YASAKWA

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI HII: ROHO YA MWINGIRA…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 10:02am — 4 Comments

MITUNGI YAWAINGIZA CHOO CHA KIUME NISHA, MADAHA

Na Erick Evarist

MASTAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na Baby Joseph ‘Baby Madaha’ juzikati walijikuta wakiingia kujisaidia choo cha kiume bila kujielewa.

Ishu hiyo iliyopigwa chabo na paparazi wetu, ilijiri hivi karibuni katika hoteli moja jijini Dar wakati mastaa hao walipokuwa…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 9:50am — 5 Comments

WATUHUMIWA WIZI WA MIL. 700 KWA MRAMBA WATOWEKA

http://api.ning.com/files/fS3r6OnLHiJGx8bNaZg2LFJqnLuf1Eid7iRH7XSqUR7uq2OZDVmvRjKB12P9hg3SGtvBFrnUvnPTgvVc74cJQWtoezBacxea/_MG_4099.jpg?width=550
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova.
Na Makongoro Oging'

WIKI iliyopita katika safu hii tuliandika habari kuhusiana na wizi wa shilingi milioni 700 zilizoibwa kwa Mary Mramba nyumbani kwake Stakishari, wilayani Ilala na tukaahidi kuendelea…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 9:26am — 2 Comments

BANDAMA, INI VINAMTESA MTOTO HUYU

Na Haruni Sanchawa

“UKIONA mwezio ananyolewa na wewe tia maji  maana yake kuna siku nawe yanaweza kukufika.”

Hiyo ni kauli ya mama aliyejitambulisha kwa jina la Felister Ramadhan kutoka mkoani Manyara ambaye amefika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuuguza mwanaye anayeugua bandama…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 9:00am — 6 Comments

POLISI WAVALIA NJUGA MTANDAO WA WIZI WA PIKIPIKI

Na Mwandishi Wetu

JESHI la polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni limevalia njuga mtandao wa wizi wa pikipiki na tayari limewanasa  watu sita wanaohusishwa na wizi wa pikipiki nne  katika operesheni maalum iliyofanyika wiki mbili zilizopitaka katika kukabiliana na  na uhalifu huo.…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 9:00am — 5 Comments

BI HARUSI ATEKWA, ABAKWA, AUAWA

Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa

BI. Harusi mtarajiwa, Elizabeth Terezia (32), mkazi wa Mbezi Beach, Kinondoni jijini Dar es Salaam amebakwa, ameuawa kikatili na watu wasiojulikana wakati akitoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Kawe, Dar  linaloongozwa na Mchungaji Kiongozi…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 8:30am — 19 Comments

ALIYEMSHITAKI DC KOROGWE ‘APIGWA TRANSIFA’

Na Mwandishi Wetu, Korogwe

MWANASHERIA wa Manispaaa ya Korogwe, mkoani Tanga, Najum Tekka ambaye amemshitaki Mkuu wa Wilaya hiyo Mrisho Gambo, ‘amepigwa transifa’ (kuhamishwa) na kupelekwa wilayani Nzenga, Tabora, Uwazi limeambiwa.…
Added by GLOBAL on October 30, 2012 at 8:30am — 5 Comments

HAUSIGELI ATUMBULIWA TUMBO, ATOROSHWA, KISA MUME WA MTU



Na Joseph Ngilisho, Arusha

BINTI aliyekuwa akifanya kazi za ndani (hausigeli), Angel Lema (22) mkazi wa Leganga, Kata ya Usa River wilayani Arumeru, aliyetumbuliwa tumbo kwa madai ya kufumwa na mume wa mtu, ametoroka wodini katika hospitali alipokuwa amelazwa.

Tuhuma za tukio hilo zimethibitishwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Halmashauri ya Meru, Dk. Azizi Msuya wakati akiongea na gazeti hili na kueleza kuwa awali binti huyo wakati akiletwa katika hospitali…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 9:02am — 8 Comments

SOPHIA SIMBA, SHYROSE VITA MPYA

Na Mwandishi Wetu

HALI ya hewa iliyochafuka wakati wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT, imeeleza kuibua vita mpya kati ya mshindi wa kiti hicho, Sophia Simba  na aliyemuuliza swali la kichokozi, Shyrose Bhanji.…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 9:00am — 20 Comments

KANISA LA AJABU LATUA DAR

SOMA HABARI HII KWA KUBOFYA…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 8:41am — 9 Comments

YATIMA ALIYEUNGUA, AHAMISHIWA CCBRT

Na Mwandishi Wetu, Iringa

MTOTO yatima Juliana Mwinuka, mkazi wa Kijiji cha Mavanga, wilayani Ludewa, mkoani Njombe…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 8:30am — 7 Comments

VIONGOZI WATOA TAMKO

Na Makongoro Oging'

KUFUATIA  serikali kupiga marufuku mihadhara ya kidini nchi nzima kwa siku 30 wiki iliyopita kwa madai ya kukabiliana na machafuko ya kidini, baadhi ya viongozi wa dini wamesema serikali haijakosea huku wengine wakiikosoa.…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 8:30am — 4 Comments

AIBU ISIYO NA MFANO

Na Mwandishi Wetu

WIZI wa aina yoyote ni aibu kwa mtuhumiwa lakini inapotokea staa mkubwa kama Isaac Waziri Makuto ‘Lord Eyez’, kudaiwa kupora vitu kwenye gari, hiyo inakuwa haina mfano.…
Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 8:00am — 11 Comments

NEY WA MITEGO MATATANI BASATA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ney wa Mitego, yupo kwenye hatihati ya kufungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) baada ya kuachia remix ya wimbo wake wa Nasema Nao iliyojaa matusi na maneno makali dhidi ya wasanii wenzake na watu mbalimbali, Showbiz inakujuza.…
Added by GLOBAL on October 16, 2012 at 9:30am — 9 Comments

MTOTO WA KIGOGO AMCHIMBA MKWARA IZZO B

RAPA mwenye swaga, Emmanuel Bryson Simwinga ‘Izzo B’, sasa hivi anaweweseka baada ya mtu aliyejitambulisha kuwa mtoto wa kigogo mmoja wa serikali, kuandika ujumbe mtandaoni akisema atamrudisha Mbeya.

Siyo stori kwamba Izzo kwa sasa anatamba na wimbo “Utarudishwa” ambao amemshirikisha mbishi wa nyimbo za mapenzi,…
Added by GLOBAL on October 16, 2012 at 9:00am — 9 Comments

PAKA ALIVYOTIKISA DARASA

Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa

MAKUBWA yamebainika kufuatia tukio la wanafunzi 12 wa Shule ya Msingi Vingunguti, Ilala, Dar es Salam kuanguka na kupoteza fahamu huku baadhi yao wakiweweseka baada ya kumuua paka aliyedondoka darasani shuleni hapo na kutikisa shule, Uwazi linakujuza yaliyo nyuma…
Added by GLOBAL on October 16, 2012 at 9:00am — 11 Comments

MAUAJI YA RPC BARLOW SIMU ZACHUNGUZWA

Na Mwandishi Wetu

UTATA bado umegubika mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow aliyepoteza maisha kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi usiku wa Oktoba 12 mwaka huu, Uwazi limejuzwa.

Taarifa kutoka chanzo chetu cha kuaminika zinaeleza kuwa…
Added by GLOBAL on October 16, 2012 at 9:00am — 12 Comments

VURUGU ZA MBAGALA: HALI TETE

SOMA HABARI HII KWA KUBOFYA…
Added by GLOBAL on October 16, 2012 at 8:51am — 13 Comments

AUNT LULU: KUZENI MAKALIO KWA MCHINA, MIMI SITUMII

Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’.
Na Erick Evarist

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’ amewashauri mabinti wanaotaka kukuza…
Added by GLOBAL on October 9, 2012 at 10:13am — 11 Comments

RECHO WASANII WA BONGO FLEVA NI WEZI

Recho Haule ‘Recho’.
Na Erick Evarist

STAA wa filamu Bongo, Recho Haule ‘Recho’ amebwatuka na kuwaita wezi wasanii wa Bongo Fleva akidai wanawaibia mashabiki kwa kucheza CD katika shoo…
Added by GLOBAL on October 9, 2012 at 10:04am — 7 Comments