Search This Blog

17 August 2012

KUONDOKA KWA ROBIN VAN PARSIE

siku zote mm ninaamin arsenal wenger kaisha fikia mwisho wake haina haja ya kunganga kuendelea kuwa kocha kila mashabiki wa arsenal hawana furaha hiyo yote inatokana na ubahili wa wenger inatakiwa tubadilike leo  VAN PARSIE  kaondoka kesho utasikia WALCOT nae anataka kuondoka
ina maana sisi ni wa2 wa kubomoa tuu ha2jengi

No comments:

Post a Comment